×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jiji lageuzwa uwanja wa soka

10th November, 2012

Baada ya Gor Mahia kushindwa kutwaa taji la ligi kuu humu nchini,mashabiki wa timu hio waliamua kuandamana kwa huzuni hadi mjini.Wengi wao walikuwa na matumaini ya kwamba njaa ya miaka kumi na saba ingekamilika hii leo Lakini Thika United waliharibu sherehe yao hii leo.wengi wa mashabiki hao hawajakufa moyo na timu yao na kulingana nao,msimu ujao utakuwa msimu wa ushindi. Mashabiki wa Tusker hata hivyo itakuwa wikendi ya aina yake, baada ya kutetea taji lao, walipowanyamazisha vijana wa city kwa mabao matatu kwa bila. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
.
RELATED VIDEOS