Opinion polls: Are they believable?
1st February, 2012
Je, kura za maoni zina umuhimu gani katika jamii? Hapa nchini, kumekuwa
na shughuli na mijadala mingi kuhusu kura za maoni za kisiasa.
Mwanahabari esther kahumbi amezungumza na baadhi ya wadadisi wa maswala
ya kisiasa kubaini jinsi kura za maoni zinavyoathiri mwelekeo wa kisiasa
nchini.