30th June, 2021
Tusker FC wamesalia kileleni mwa ligi kuu ya soka nchini wakiwa na alama 44 baada ya kuishambulia Ulinzi stars mabao 4?1 katika uwanja wa afraha mjini nakuru. Mabao ya tusker yalifungwa na Bonifcae Onyango,Brian Marita ,Kepha Aswani na Chrispinus Odhiambo huku Brian Brigen akifunga bao la kufutia mahcozi kwa ulinzi.