19th January, 2021
Mchezaji nyota wa tenisi ya chipukizi Angella Okutoyi alipata ushindi wake wa pili katika mashindano ya tenisi ya kitaifa yanayoendelea jijini Nairobi. Okutoyi aliashinda seti mbili dhidi ya shanice roignot kutoka ufaransa. Mashindano hayo yanatumika kama maandalizi ya michuano ingine mwakani.