1st October, 2020
Eliud Kipchoge anayeshikilia rekodi ya dunia ya marathon ya masaa 2 dakika 1 na sekunde 39 yuko tayari kupambana na kenenisa bekele wa Ethiopia katika mashindano ya riadha za London marathon. Wawili hao wameficha mbinu watakazotumia kushinda siku hiyo.