x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Nick Mwendwa ahojiwa na DCI kuhusu matumizi ya shilingi millioni 245

21, May 2020

Baada ya miezi kadhaa ya shutma, rais wa shirikisho la soka nchini Nick Mwendwa ameitwa katika afisi kuu ya idara ya upepelezi nchini kuelezea kuhusiana na madai ya utumizi mbaya wa fedha.   Shirikisho hilo limeshtumiwa kuzifuja shilingi milioni 244 wakati wa dimba la AFCON mwaka 2019. Aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya michezo nchini Peter Kaberia pia alikuwa na duku duku la jinsi shilingi milioni 4  zilivyotumiwa wakati wa mechi za mchujo.   Suala la gari la matangazo ya nje lililogharimu shilingi milioni 125 ambalo mpaka sasa halijaonekana nchini pia ni moja ya shutma dhidi ya Mwendwa.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback