×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanaounga mkono Azimio la Umoja kaunti ya Kwale wamempuuza Naibu wa Rais William Ruto

7th February, 2022

Wanaounga mkono Azimio la Umoja kaunti ya Kwale wamempuuza Naibu wa Rais William Ruto na mrengo wa Kenya Kwanza, wakisema kwamba chama cha ODM bado kina umaarufu katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na mwenyekiti wa ODM kaunti hiyo Hassan Mwanyoha, wamewashauri wananchi kuwa makini wasipotoshwe na wanasiasa.

.
RELATED VIDEOS