×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ukosefu wa ajira kwa vijana: Wamehimizwa kutumia taaluma ya kiufundi

7th February, 2022

Pamekuwepo na idadi kubwa ya vijana wanaojihusisha na taaluma ya kiufundi na vyuo vya anuwai. kwa mujibu wa Joise Yator mkuu wa shule ya taasisi ya mafunzo ya kiufundi katika eneo la bonde la ufa, kutokana na ukosefu wa ajira nchini vijana wengi wanatumia fursa hiyo kujiajiri kufanikisha utendakazi kwenye karakana na nyanja mbalimbali

.
RELATED VIDEOS