×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyakazi wa umma watakiwa kujiuzulu ili kuwania nyadhifa za uongozi

7th February, 2022

Huku wafanyakazi wa umma wakitakiwa kujiuzulu kwa nyadhifa za uongozi, katibu mkuu wa chama cha walinzi binafsi Isaac Andabwa ambaye pia anahudumu kwenye mamlaka ya kudhibiti ulinzi binafsi kwenye ofisi ya rais ni miongoni mwa wanaopanga kujiuzulu. Andabwa ambaye amekuwa mstari wa mbele kupigania haki ya walinzi wa binafsi nchini amesema kuwa analenga kutumia fursa hiyo kupigania haki ya wakenya wa tabaka la chini kule bungeni. Andabwa anamezea mate kiti cha ubunge cha Lugari

.
RELATED VIDEOS