×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru kuzindua rasmi mpango wa huduma za afya kwa wote katika hospitali ya Port Reiz Mombasa

7th February, 2022

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzindua rasmi mpango wa huduma za afya kwa wote katika hospitali ya Port Reiz kaunti ya Mombasa ikiwa ni mojawapo ya hatua kuu ya kuimarisha afya kwa wakenya. Kuanzia mwaka wa 2018, serikali kupitia kwa wizara ya afya ilizindua jaribio la afya kwa wote kwa kipindi cha mwaka mmoja katika kaunti nne zilizochaguliwa kwa misingi ya ukubwa wa kaunti hizo, magonjwa yanayoambukizwa na pia vifo vya watoto wadogo.

.
RELATED VIDEOS