NIE kilizuru shule ya wavulana ya Mulot kaunti ya Bomet
21st October, 2021
Kitengo cha gazeti la The Standard kinachoangazia masuala ya elimu cha NIE kilizuru shule ya wavulana ya Mulot kaunti ya Bomet. Meneja wa kitengo hicho Frank Otieno alitangamana na wanafunzi wa shule hiyo na kujadiliana.