19th October, 2021
Walimu wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika kuwapa wazazi hamasisho kuhusu mtaala mpya wa elimu wa CBC ili waweze kuuelewa na kuukumbatia. Kulingana na mhadhiri wa masuala ya elimu katika chuo kikuu cha Moi profesa Anne Kisilu mtaala wa CBC ni mfumo ulio bora.