Wafugaji wa kuku wamelalamikia ongezeko la bei ya chakula na dawa ya kuku
15th October, 2021
Baadhi ya wafugaji wa kuku wamelalamikia ongezeko la bei ya chakula na dawa ya kuku jambo ambalo limeathiri pakubwa ufugaji wa kuku. Hezron Kimari na taarifa hiyo kutoka Voi.