6th November, 2020
Mkutano wa vijana almaarufu National Youth Roundtable unafanyika kwa mara ya kwanza eneo la magharibi katika chuo kikuu cha Masinde Muliro. Mkutano huo huwaleta vijana pamoja kujadili nafasi yao katika uongozi, siasa, uchumi na njia za kujikiza kwa kujiari.