×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Taita Taveta imekumbatia masomo ua Chekechea, mpango wafanikishwa na Serikali

2nd March, 2020

Kaunti Ya Taita Taveta Imekumbatia Masomo Ya Chekechekea. Hatua Ambayo Imeshuhudia Kukua Kwa Idadi Ya Watoto Waliojiunga Na Shule Kwa Zaidi Ya Watoto 4000 Kutoka Mwaka Wa 2014 Sasa Wamefikia 11,000. Kaunti Ya Taita Taveta Aidha Inalenga Kuwaajiri Walimu 600 Ili Kuufanikisha Mopango Huo. Waziri Wa Elimu Daniel Makoko Alitoa Taarifa Hiyo Wakati Wa Mkao Na Wanahabari Ulioandaliwa Na Shirika Lisilo La Serikali La Their World Ambalo Linazingatia Miaka Ya Kwanza Ya Watoto Kuwa Muhimu Mno Kwa Maendeleo Ya Na Makuzi Yao.

.
RELATED VIDEOS