x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri wa Kilimo, Peter Munya adai juhudi za kukabiliana na Nzige nchini zimeimarishwa

02, Mar 2020

Waziri Wa Kilimo Peter Munya Amewataka Wakenya Kuwa Watulivu Huku Serikali Ikiendelea Na Juhudi Za Kukabiliana Na Nzige Ambao Wanaendelea Kuvamia Maeneo Mbali Mbali Nchini. Munya Amesema Kuwa Helikopta Zaidi Za Kunyunyiza Dawa Ya Kuwaua Wadudu Hao Zimeagizwa Kutoka Nchini Afrika Kusini. Alikuwa Akizungumza Katika Hafla Ya Kumkabidhi Afisi Waziri Mpya Wa Viwanda, Biashara Na Vyama Vya Ushirika Betty Maina.

RELATED VIDEOS


Feedback