×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kumbukizi ya Mjane: Mumewe aliaga kwenye ajali ya barabara, mjane Tabitha asimulia yaliyojiri 2014

28th February, 2020

Tarehe 9 Mwezi Machi Mwaka Wa 2014, Kijiji Cha Nyathuna Kaunti Ya Nakuru Kiliamkia Majonzi Tele. Watu 10 Wa Kutoka Kijiji Hicho Walikuwa Wameangamia Katika Ajali Iliyotokea Eneo La Salgaa Baada Ya Matatu Walimokuwa Wakisafiria Kugongana Na Lori. Wanakijiji Hao Kumi Walikuwa Wameandamana Na Geoffrey Ng’ang’a Kuhudhuria Sherehe Ya Kulipa Mahari Kwao Tabitha Muthoni Eneo La Timboroa. Ng’ang’a Ni Mmoja Wa Walioaga Dunia Papo Hapo. Miaka Sita Baadaye, Tabitha Amezungumza Ktn News Kuhusiana Na Maisha Magumu Aliyoyapitia Tangu Mpenziwe Kuaga Dunia Na Jinsi Anavyoendelea.

.
RELATED VIDEOS