13th January, 2020
Taharuki Bado Imetanda Katika Chuo Kikuu Cha Egerton Huko Njoro Kufuatia Tukio La Jana Usiku Ambapo Maafisa Wa Polisi Walilazimika Kutumia Vitoza Machozi Kuwatawanya Wanafunzi Waliokuwa Wakizua Rabsha. Wanafunzi Hao Wanalalamikia Hatua Ya Chuo Hicho Kuwazuia Kuingia Shuleni Kabla Ya Kulipa Fedha Kugharamia Uharibifu Waliosababisha Disemba Mwaka Jana.