17th December, 2019
Wakulima Wa Mahindi Katika Ukanda Wa North Rift Wamelalamikia Malipo Duni Kutoka Kwa Serikali Kup9itia Kampuni Ya Mbegu Ya Kenya Seed Company. Wakulima Hao Wanadai Kuwa Kampunio Hiyo Imekuwa Ikiwalipa Malipo Yasiyolingana Na Na Gharama Ya Uzalishaji Wanafaka Wanazosambaza Kwa Taasisi Hiyo. Zaidi Ya Wakulima Hao 500 Wakionbgozwa Na Mwenyekiti Wao Barasa Tulienge Walisemakuwa Kulipwa Shilingi 65 Kwa Kilo Ni Kama Kejeli. Walizungumza Haya Mjini Kitale Walipoipa Serikali Makataa Ya Siku Saba Kuyarekebisha Mambo Ama Wapatane Mahakamani