×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

UKEKETAJI: Wataalam wa mila watakiwa kukoma, pendekezo la kupigwa jeki latolewa

10th December, 2019

Vita Dhidi Ya Ukeketaji Wa Wanawake Vimepata Muinuko Baada Ya Viongozi Wa Siasa Kuraiwa Kutoa Msaada Wa Kifedha Kwa Wanawake Wataalam Wanaoendeleza Mila Hiyo Mbovu Ili Kuwaruhusu Kutafuta Njia Mbadala Za Kujipa Riziki Na Kukomesha Ukeketaji Kwenye Kaunti 22 Zilizoshamiri Mila Hiyo.  Wakiongozwa Na Afisa Msimamizi Katika Wizara Ya Huduma Za Umma Na Jinsia Rachel Shebesh, Baadhi Ya Washikadau Wametaja Kusikitishwa Na Ongezeko La Visa Vya Ukeketaji Miongoni Mwa Wanawake Licha Ya Juhudi Za Kitaifa Kukomesha Mila Hizo Mbovu.

.
RELATED VIDEOS