×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kivutio cha Hell's Kitchen chafungwa kutokana na tishio la Ugaidi

10th December, 2019

Serikali Imefunga Kivutio Cha Utalii Cha Hells Kitchen Huko Magarini Kaunti Ya Kilifi Kufuatia Vitisho Vya Shambulizi La Kigaidi. Eneo Hilo Linafahamika Tangu Miaka Na Mikaka Iliyopita, Na Limekuwa Likihifadhiwa Na Jamii Kwa Zaidi Ya Miaka Ishirini Kama Kivutio Cha Watalii. Inadaiwa Tatizo Lilizuka Pale Jamii Ilipokosa Kutoa Malipo Ya Kila Siku Ya Elfu Tatu Kwa Maafisa Wanaolinda Eneo Hilo Kisha Wakaondolewa. Baadayewalipata Ujumbe Wa Kufunga Kivutio Hicho Cha Utalii Kwamisingi Kwamba Ilikuwa Rahisi Sana Magaidi Kuvamia Watalii.

.
RELATED VIDEOS