9th December, 2019
Washukiwa Wanne Wanaodaiwa Kushambulia Na Kumdhulumu Mwanamume Mmoja Mwenye Umri Wa Miaka Arobaini Na Saba Katika Kijiji Cha Kithaku Kaunti Ya Meru Wamefikishwa Katika Mahakama Ya Githongo Leo Kujibu Mashtaka. Inadaiwa Kuwa Kando Na Kumpa Kichapo Mzee Huyo, Walijeruhi Sehemu Zake Za Siri,Tukio Lililomsababisha Kulazwa Hospitalini.