×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Sonko asomewa mashtaka akiwa Milimani Law Courts

9th December, 2019

Gavana Wa Kaunti Ya Nairobi Mike Sonko Amefikishwa Mahakamani Leo Hii Kushtakiwa Kwa Tuhuma Za Ufisadi Na Matumizi Mabaya Ya Ofisi Yake. Upo Wasi Wasi Mkubwa Wa Pengo Katika Uongozi Wa Kaunti Ya Nairobi Ikizingatiwa Kuwa Gavana Sonko Hana Naibu. Baraza La Magavana Hata Hivyo Limemtaka Rais Uhuru Kenyatta Kuandaa Kikao Cha Dharura Kuliangazia Suala Hilo Na Kuondoa Shaka Ya Siku Za Usoni Iwapo Tukio La Aina Hiyo Litatokea. 

.
RELATED VIDEOS