×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KCAA yapewa idhini rasmi kuajiri wafanyakazi 300 wakiwemo wahudumu wa ndege

29th November, 2019

Halmashauri ya ndege nchini KCAA sasa imepewa idhini rasmi kutoka kwa hazina ya fedha nchini sawa na kitengo cha huduma za umma kuajiri takriban wafanyakazi mia tatu wakiwemo wahudumu wa ndege, maafisa wa kutoa vibali sawa na wale wa ukaguzi wa huduma za ndege. Haya yanajiri wakati ambapo halmashauri hiyo imekuwa ikiyumbayumba kutokana na uhaba wa wafanyakazi.hata hivyo kuhusiana na kisa cha abiria mmoja aliyeanguka nchini London  kutoka kwenye ndege iliyokuwa ikitoka kwenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta  halmashauri hiyo imejitenga na uchunguzi unaondelea kuhusiana na tukio hilo ambali lingali kitendawili wakisema kwamba hawamo miongoni mwa wanaendeleza uchunguzi huo.

.
RELATED VIDEOS