×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

UPANZI WA MITI MERU: Vijana washiriki katika upanzi wa miti

11th November, 2019

Katika Miaka Ya Hivi Karibuni, Kaunti Ya Meru Imeathirika Na Ukosefu Wa Mvua Na Wataalamu Wamesema Ni Kutokana Na Upungufu Wa Miti. Chuo Kikuu Cha Meru Kimejitokeza Kupanda Miti Hususan Siku Ya Leo Ambapo Wadau, Wahadhiri Na Wanafunzi Watapanda Miche Arubaini Elfu (40,000). George Maringa Anafuatilia Taarifa Hii Na Sasa Anaungana Nasi Moja Kwa Moja Kutoka Chuo Kikuu Cha Meru.

.
RELATED VIDEOS