11th November, 2019
Wamiliki Wa Punde Katika Mji Wa Machakos Wamefanya Maandamano Wakitaka Kufungwa Kwa Vichinjio Vya Punda Katika Eneo Hilo Ili Kuwaokoa Wanyama Hao Ambao Wanakabiliwa Na Tishio La Kuangamia. Wamiliki Hao Waliimba Nyimbo Za Kupinga Uchinjaji Wa Punda Wakisema Kuwa Hawakushauriwa Kabla Ya Kichinjio Cha Punda Kujengwa Katika Eneo La Kithyoko Kaunti Ndogo Ya Masinga.