5th November, 2019
Kongamano La AMCHAM Ambalo Laangazia Kukuza Biashara Kati Ya Nchi Kenya Na Marekani Imeingia Siku Ya Pili Na Ya Mwisho. Katika Kongamano Hili Majadiliano Yanapania Kuangazia Ni Vipi Bishara Kati Ya Nchi Hizi Mbili Zinaweza Kukuzwa