x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mbunge wa Mbeere Kusini aamuru majengo kubomolewa

30, Jan 2019

Mbunge wa Mbeere Kusini Geoffrey King'ang'i amewaamuru wanakandarasi sita waliojenga madarasa na vyoo vya shule kubomoa majengo hayo kwa kukiuka kanuni za ujenzi.  Aliitoa amri hiyo alipokuwa kwenye ziara ya kukagua viwango vya ujenzi wa majengo kupitia hazina ya ustawi wa maeneo bunge, CDF. 

Feedback