×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KFCB yatoa wito kwa wazazi kuhusu filamu wanaoruhusu watoto wao kutazama

18th December, 2018

Bodi ya kutathmini ubora wa filamu nchini KFCB imetoa wito kwa wazazi kuwamakini na watoto wao kila wanapowaomba ruhusa ya kwenda kutazama filamu. Mkuu wa KFCB Tawi la Pwani Bonventure Kioko alisema kuwa watoto wengi wanaruhusiwa kutazama filamu za watu wazima kinyume cha kanuni na masharti ya bodi hiyo. Aidha Bonventure anasema kuwa katika eneo la Malindi wameidhinisha mabaanda 56 ya video lakini mengi hukiuka sheria na muongozo waliopewa na kuanza kuwaharibu maadhili watoto wadogo. Tayari vituo vitatu vya video katika eneo la Malindi, Gongoni na Kisumu ndogo vimepokonywa leseni.

.
RELATED VIDEOS