15th December, 2018
Katiba katika Wizara ya Ndani ya nchi Karanja Kibicho amemlipa mchuuzi Dennis Wachira shilingi arubaini, deni alilokuwa anamdai Rais Uhuru Kenyatta. Wachira aliyekuwa amedai alimuuzia rais chingamu au big g yaani chewing gum tarehe mwezi september mwaka jana, hadi wa leo alikuwa hajalipwa.