x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mahakama ya Juu kuamua kesi inayopinga ushindi wa Babu Owino

03, Oct 2018

Mahakama ya Juu inatakiwa kuamua kesi iliyowasilishwa ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ambaye jina lake halisi ni paul ongili katika uchaguzi mkuu wa agosti nane mwaka uliopita. Aliyekuwa mbunge wa sehemu hiyo katika bunge la kumi na moja francis mureithi alikata rufaa katika mahakama ya juu baada ya mahakama ya rufaa kukubaliana na mahakama kuu kuwa alishinda. Mureithi alidai kuwa babu hakushinda uchaguzi huo kwa njia huru. Tunaelekea moja kwa moja hadi katika mahakama ya juu ambapo mwanahabari wetu mark namaswa amekita kambi huko.

RELATED VIDEOS


Feedback