×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule za Kajiado hazina hati miliki

24th September, 2018

Shule nyingi za umma katika kaunti ya kajiado hazina hati miliki za mashamba yao na ziko katika hatari ya kunyakuliwa. Haya yalibainika wakati tume ya ardhi ilipofanya vikao na walimu wakuu o. Sylvestre Mulambe kutoka wizara ya elimu amesema kwamba wizara itafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa shule zote za umma zimepata stakabadhi hizo. Rais Uhuru Kenyatta alikuwa ametoa amri hati miliki zote za shule nchini zikaguliwe.?

 

.
RELATED VIDEOS