24th September, 2018
Shirika la ndege la silverstone air limeanzisha rasmi safari ya Lamu?Mombasa itakayorahisisha shughuli za utalii na kazi kwa wakazi wa lamu. Mkurugenzi nkuu wa silverstone air amewataka wakazi kuwaunga mkono katika kukuza utalii kwa kupitia uzinduzi huo mpya utakaowawezesha kufanikisha malengo yao kibiashara. Waziri wa utalii viwanda na biashara kaunti ya lamu dismas pole ameelezea furaha yao kutokana na hatua hiyo.