×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Upanzi wa ndizi waimarishwa Taita Taveta

21st September, 2018

Serikali imegharamia upanzi wa ndizi katika kaunti ya taita taveta kwa kutia mkataba wa makubaliano kati ya serikali kuu na wizara ya ugatuzi ambapo pia wataunda kampuni kwa shughuli hiyo. kulingana na katibu katika wizara ya ugatuzi Charles Sinkuli mpango huo umefadhiliwa na umoja wa mataifa ya uingereza kwa kima cha shilingi milioni 110 kwa mataifa kumi na matano. Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja amesema kaunti ya taita taveta inalazilisha tani 150 za ndizi kila mwaka.

.
RELATED VIDEOS