.
17th September, 2018
Wasanii wameonesha picha zao za mwisho kabla ya mwisho wa uhai wao katika onesho la kimataifa la sanaa ya michoro linalofahamika kama 'last image show' linalofanyika jijini Dar es salaam nchini Tanzania