×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Visa vya uvamizi vyaongezeka Isiolo

17th September, 2018

Wakazi wa kambi ya juu huko isiolo wanaishi maisha ya kuogopa kufuatia ongezeko la visa vya uhalifu eneo hilo. watu watatu wameuawa eneo hilo katika muda wa mwezi mmoja, kisa cha hivi punde ni kuuawa kwa mwanamke mmoja kisha kutolewa kwa viungo mwilini mwake. Naibu kamishina wa kaunti ya isiolo Robert Wangila amewalaumu wenyeji kwa kutotoa taarifa muhimu kuhusiana na mashambulizi ya kila mara kwa mara na kulemaza juhudi za maafisa wa usalama kuwasaka wahusika. 

 

 

 

.
RELATED VIDEOS