14th September, 2018
Visa vya ndoa za mapema vinatarajiwa kushuka kwa asilimia 50 katika eneo la olkaria huko naivasha kaunti ya nakuru kufuatia mpango wa kuwafadhili kimasomo wasichana wadogo.The baptist church kutoka italy litawafadhili wasichana kutoka familia masikini katika elimu ya msingi hadi chuo kikuu kama njia ya kutatua tatizo hilo la watoto wadogo kuozwa mapema.