5th September, 2018
Chama cha Mawakili tawi la Nairobi kimejitokeza kumuunga mkono mwenyekiti wao Charles Kanjama anayesemekana kutishiwa maisha na watu fulani kufuatia kesi inayomhusisha waziri wa zamani wa fedha Garissa Idriss Muktar. Mawakili hao wemetishia kuandaa maandamano na kuwashtaki waliotajwa na washukiwa kwenye kesi hyo.