×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama cha walimu nchini Kenya KNUT chashitisha mgomo

30th August, 2018

Chama cha walimu nchini KNUT kimesitisha mgomo wake kwa sasa ambao ulikuwa ufanyike septemba mosi  ili kutoa nafasi ya kufanya mazungumzo na tume ya kuwaajiri walimu tsc kuhusu sera zilizowekwa na ambazo chama hicho kinadai zinahujumu utendakazi wa walimu. Akizungumza katika kaunti ya nyamira, katibu mkuu wa knut wilson sossion ameapa kuwaongoza  walimu wote katika maandamano kati ya tarehe 30 mwezi septemba hadi tarehe 5 oktoba iwapo mazungumzo kati ya chama hicho na tsc hayatazaa matunda.

.
RELATED VIDEOS