x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kofi Annan anakumbukwa na watu waliofanya kazi naye nchini kenya

20, Aug 2018

Kofi Annan amefariki lakini anakumbukwa na watu waliofanya kazi naye hususan nchini kenya alipokuwa msuluhishi mkuu wa mzozo wa baada ya uchaguzi. Lakini je kabla ya amani hiyo kupatikana wahusika wengine walichangia vipi amani hiyo? Miongoni mwa waliofanya kazi ya annan wanajumuisha marais wastaafu wa tanzania jakaya mrisho kikwete na benjamin mkapa. Si hao tu wapo waliojaribu kutafuta amani wakati huo. 

RELATED VIDEOS


Feedback