×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mvinyo unaweza kutengenezwa kutokana na maganda ya maembe

20th August, 2018

Je, umewahi kusikia kuwa mvinyo unaweza kutengenezwa kutokana na maganda ya maembe?

Vijana wa kike kutoka kaunti ya siaya wameanzisha mradi wa kugema mvinyo kutokana na maembe mbali na kutengeneza sharubati.

Mwanahabari wetu kevin ogutu alikutana na vijana hao ambao walipokea mafunzo kutoka taasisi ya mafunzo ya ukulima ya siaya miaka miwili iliyopita.

.
RELATED VIDEOS