×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia ya watano yaangamia katika ajali Nyeri

17th August, 2018

Familia ya watu watano imeangamia yote katika ajali ya barabarani iliyotekea usiku wa kuamukia leo katika eneo hatari la Kianungi kwenye barabra ya Nyeri ? Nyahururu. Ajali hiyo iliyotokea mwendo wa saa mbili usiku ilihusisha gari dogo na matatu ya abiria kumi na wanne inayomilikiwa na chama cha 2NK.  Kulinga na na OCPD wa eneo hilo Timon Odingo gari hilo dogo lilipasuka gurudumu kabla ya dereva kupoteza mwelekeo na kubingiria mara kadhaa, kisha kugongana na matatu hiyo . Makiwa kwa waathiriwa.

 

 

.
RELATED VIDEOS