×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maskwota wa Nguu Tatu watakiwa kutoondoka

23rd July, 2018

Nguu Tatu Kaunti ya Mombasa wametakiwa kutoondoka katika shamba hilo licha ya jaribio la hivi punde kujaribu kuwatimua.  Katibu wa baraza la mawaziri katika kaunti ya mombasa francis thoya na waziri wa ardhi edward nyale waliwatembelea maskwota hao baada ya kundi la vijana kuwavamia na kujaribu kuwatimua. Takriban nyumba 70 zilibomolewa na watu mia tatu kuachwa bila makao.

.
RELATED VIDEOS