21st May, 2018
Usimamizi wa mkahawa wa Olive katikati mwa jiji la nairobi umejitenga na kisa cha mwanamke mmoja kudai kukatazwa kunyonyesha kwa kutoa kanda ya video ambayo wanasema ina ushahidi wa yaliyotokea katika mkahawa huo. Caroline Bii yuko nje ya mkahawa huo na tunaungana naye moja kwa moja.