×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mume ampiga mkewe kwa madai ya kuwa na uhusiano nje ya ndoa katika eneo la Kuria

17th April, 2018

Mwanamke mmoja anazidi kupokea matibabu katika hospitali ya Migori baada ya kupokea kichapo kutoka kwa mumewe kwa madai amekuwa na uhusiano wa mapenzi na muhudumu wa bodaboda. Sophie Maroa mwenye umri wa miaka 33 amesema mumewe alianza kumpiga baada ya kumlimbikizia madai hayo. Aidha aliwaambia wanahabari kwamba kwa miaka nyingi tu amekuwa akipitia mateso kutoka kwa mumewe ila akayanyamazia. Wahudumu wa afya katika hospitali hiyo wanasema mara nyingi wanapokea visa vya aina hiyo ila wengi wanaogopa kuripoti kujikinga na dhuluma zaidi.

.
RELATED VIDEOS