×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge Kandara asisitiza kwa umarisho wa juhudi za kukabiliana na pombe haramu

8th January, 2018

Mbunge kandara Alice Wahome amesema kuwa pana haja ya kuimarisha juhudi za kukabiliana na pombe haramu katika kaunti ya Muranga. Akizungumza alipokutana na machaifiu na viongozi kutoka katika sehemu hiyo wahome amesema kuwa athari za unywaji pombe haramu zimedhihirika zaidi miongoni mwa vijana

 

.
RELATED VIDEOS