LEO MASHINANI: Zainab Zedi katika nakala ya Mwanamke ngangari, 4th April 2016
5th April, 2016
LEO MASHINANI: Zainab Zedi katika nakala ya Mwanamke ngangari, 4th April 2016. Anaeleza jinsi alivyovuka vizuizi vya kidini na kuwa mwanamke tajika katika fani ya usani haswa kama mcheshi.