×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Muuguzi kutoka kakamega anayedaiwa kuwa aliwaua watoto wake wawili atazuiliwa kwa siku saba zaidi

22nd March, 2022

Polisi wamepewa ruhusa kumzuilia kwa kipindi cha siku saba katika kituo cha polisi cha Kakamega Perine Pinquet Maero muuguzi kutoka kakamega ambae inadaiwa aliwaua watoto wake wawili kwa kuwanyonga na kudai walipewa sumu kabla ya kujaribu kujitoa uhai. Uchunguzi ukionyesha watoto hao wawili huenda walidungwa dawa ya kupoteza fahamu kabla ya kunyongwa.

.
RELATED VIDEOS