×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu watano wa familia moja wapoteza maisha

4th March, 2012

Watu watano wa familia moja wamepoteza maisha yao papo hapo huko Mwea katika ajali mbaya ya barabarani. Ajali hiyo katika barabara ya makutano- Embu ilitokea pale gari ndogo lilipogongana ana kwa ana na basi moja lililokuwa njiani kuelekea Meru kutoka Nairobi. Na katika ajali nyingine mbaya, huko kaunti ya Bungoma, wanafunzi 10 wa shule kadhaa katika kaunti ya Bungoma walifariki, baada ya lori moja kuwagonga walipokuwa wanatembea kutoka mashindanoni.

.
RELATED VIDEOS