×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Taanzia ya George Morara, mbunge aliyehudumu kwa miezi tisa pekee

29th November, 2021

George Morara alikuwa mbunge aliyehudumu kwa miezi tisa pekee kabla ya kifo kumchukua kutoka duniani.

Inasemekana Morara, aliyekuwa mchanga ki umri na pia kisiasa, alikuwa ameipatia serikali muda wa saa 48 kuelezea aliko mshtakiwa aliyemuuwa waziri Tom Mboya. Baadaye, alifariki ghafla katika ajali ya barabarani.

Je, ilikuwa ajali ya kawaida au ni tukio lililopangwa?

Miaka 51 baada ya kifo chake, mwanawe wa kike ameanza kutafuta ukweli kuhusu namna babake aliaga dunia akisema hatua hiyo itasaidia kumaliza makovu waliyonayo moyoni.

.
RELATED VIDEOS